Habari kuu
Watano kuwania tuzo ya mwanasoka bora Afrika 2015

Wagombea watano wa tuzo la BBC kwa mwanasoka bora wa mwaka 2015 wametangazwa kwenye hafla maalum iliyoandaliwa Johannesburg.
- 14 Novemba 2015

Wasifu wa Aubameyang
Pierre-Emerick Aubameyang amekuwa na mwaka wenye mafanikio, akiwa amefunga magoli mengi na kuweka rekodi mpya ya ufungaji Ujerumani.
- 14 Novemba 2015

Mfahamu Andre Ayew
Andre Ayew, ambaye ni mtoto wa nguli wa mpira ulimwenguni Abedi 'Pele', Ayew, ana ustadi, uthabiti na ujanja mchezoni.
- 14 Novemba 2015

Wasifu wa Brahimi
Yacine Brahimi anapigania kuwa mchezaji wa pili kuhifadi tuzo ya BBC ya mwanakandanda bora Afrika, baada ya Mnigeria Jay Jay Okocha.
- 14 Novemba 2015

Wasifu wa Sadio Mane
Sadio Mane mwenye umri wa miaka 23 aliweka rekodi nzuri ya ufungaji mabao tangu alipowasili katika kilabu hiyo ya Southampton 2014.
- 14 Novemba 2015

Wasifu wa Yaya Toure
Yaya Touré sasa ameteuliwa kuwania Tuzo ya BBC ya Mwanakandanda Bora wa Afrika wa Mwaka, aliyoishinda 2013, kwa mara saba.
- 14 Novemba 2015
Chapisha Maoni