MATOKEO YA KURA ZA USPIKA WA BUNGE LA 11 LA JMT
Leo wabunge wamepiga kura kumchagua spika wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, baada ya mchakato kukamilika na matokeo kutangazwa, wabunge wamemchagua Job Ndugai kupitia chama cha mapinduzi(CCM) kuwa spika wa bunge la 11.
Kura zilizopigwa-365
Kura zilizoharibika-2
Malisa-0
Medeye-109
Rungwe-0
Almasi-0
Ndugai-254
Sarungi-0
Lymo-0
Kasimiu-0
Chapisha Maoni