MH RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI AMTEUA WAZIR IMKUU
Spika anasema barua imeandikwa na Rais kwa mkono wake mwenyewe haikuchapishwa.
Spika anasoma; '' Job Ndugai, Mh Spika, mimi mwenyewe kwa nafasi yangu kama Rais wa JMT nimemteua Mbunge wa Ruangwa mh. Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu wa JMT.''
Chapisha Maoni