Spika anasema barua imeandikwa na Rais kwa mkono wake mwenyewe haikuchapishwa. Spika anasoma; '' Job Ndugai, Mh Spika, mimi mwenyewe...
UFARANSA YAUA WAPIGANAJI 33 SYRIA
Mashambulio ya Ufaransa na mataifa mengine dhidi ya ngome ya Islamic State huko Raqqa nchini Syria siku ya jumapili yamewauwa takriban wapi...
WATU 32 WAMEUWAWA KASKSZINI MWA NIGERIA
Watu 32 wameuawa kwenye shambulio la bomu la kujitoa mhanga katika mji wa Yola, kaskazini mashariki mwa Nigeria. Wengine 80 wamejeruhiwa. ...
MATOKEO YA MECHI ZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA KWA MECHI ZA JANA
Timu ya taifa ya Kenya Harambee Star nao wakalala kwa kufungwa mabao 2-0 na Cape Verde. Mabao ya Cape Verde yalifungwa na Heldon Ramos da...
TAIFA STARS HOI
Image caption Michezo ya raundi ya pili ya ku saka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia nchini Urusi 2018 kwa ukanda wa Afrika, ilichezw...
POLISI WAVAMIA WASHUKIWA WA MASHAMBULIO PALISI
Image copyright Reuters Image caption Polisi wamezingira eneo la Place Jean Jaures mtaa wa Saint Denis Washukiwa wawili wamefariki baada...
STARS VS ALGERIA LEO BILDA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo usiku saa 1:15 kwa saa za Algeria, (s...
TIMU 14 BARANI AFRIKA KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA LEO 17 NOV 2015
Image caption Mechi 14 za kufuzu kwa kombe la dunia leo Mechi 14 za mkondo wa pili wa kufuzu kwa fainali za kombe la dunia la mwaka wa 2...
MAJINA YA WALOPATA MIKOPO AWAMU YA NNE
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha waombaji wa mikopo kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kuwa imetoa orodha ya ...
MECHI KATI YA UBELGIJI NA UHISPANIA YAFUTWA
Image caption Wachezaji wa Uhispania wakifanya mazoezi katika uwanja huo wa Brussels Mechi ya kirafiki kati ya Ubelgiji na Uhispania a...
BARAZA LA VIJANA CHADEMA WATOA SIKU TATU KWA POLISI
Katibu wa uenezi wa Baraza hilo la vijana BAVICHA Taifa Bwana EDWARD SIMBEYE akizungumza na wanahabari mapema leo juu ya hali ya mauaji ya...
UKAWA WATOA TAMKO KUHUSU USHINDI WA MAALIMSEIF ZANZIBAR
Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan ...
MATOKEO YA KURA ZA USPIKA WA BUNGE LA 11 LA JMT
Leo wabunge wamepiga kura kumchagua spika wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, baada ya mchakato kukamilika na matokeo kutangazwa, wabunge wa...
ISLAMIC STATE YASHAMBULIWA NA URUSI
Image caption Shambulizi la roketi dhidi ya Islamic State Urusi imesema kuwa imetekeleza shambulio kali zaidi dhidi ya maeneo yanayoka...
JOB OLE NDUGAI ACHAGULIWA KUWA SPIKA BUNGE LA TANZANIA
Image caption Bunge la Tanzania Job Ole Ndugai ndie spika mpya wa bunge la Tanzania. Ndugai mwenye umri wa miaka 55 alijipatia thuluth...
DR TULIA ACKSON MWASASU ATEULIWA KUWA MBUNGE NA RAIS
Magufuli atengua uteuzi wa Dr. Tulia, amteua kuwa mbunge Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, leo asubuhi ...
WABUNGE WAWASILI DODOMA
Zoezi hili la usajili wa Wabunge wateule litafayika kwa siku tatu kuanzia tarehe 13-15 Novemba 2015. Aidha mara ya baada ya zoezi la usajil...
VITA VYA JOGOO VYA SABABISHA VIFO VYA WATU 10
Image caption Vita vya jogoo vyasababisha vifo vya watu 10 Takriban watu 10 wamepigwa risasi na kuawa baada ya makundi mawili kutofaut...
MSHUKIWA MKUU SHAMBULIO LA PARIS ASAKWA
Mshukiwa mkuu mashambulio ya Paris asakwa Image copyright Other Image caption Salah Abdelsalem atajwa kuwa mtu hatari Polisi wametoa p...